VIDEO: Ali Kiba akiwa studio na R. Kelly wakitengeneza nyimbo



Kama utakuwa na kumbukumbu nzuri kwa nyimbo ambazo ameshiriki staa wa Tanzania, Ali Kiba basi utakuwa unakumbuka vizuri nyimbo ya Hand Across The World ambayo ilishirikisha mastaa
mbalimbali wa muziki kutoka Afrika.

Nyimbo hiyo ambayo ilitengenezwa Marekani na kusimamiwa na R. Kelly ilihusisha wasanii kama 2 Face, Navio, Movaizphaleine, Amani, Fally Ipupa na Ali Kiba mwenyewe.

 video jinsi nyimbo hiyo ilivyoandaliwa, waweza itazama hapa chini.
  Breaking news:Lionel Messi ahukumiwa kufungwa jela
 HABARI KUU LEO BOFYA HAPA 
















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top