Breaking news:Messi ahukumiwa kufungwa Jela

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai
wakati wa ulipaji ushuru, vyombo vya habari nchini Uhispania vinaripoti.


Babake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kufungwa jela kwa kuilaghai Uhispania €4.1m (£3.2m; $4.6m) kati ya 2007 na 2009.

Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema maeneo salama yenye kinga dhidi ya ushuru Belize na Uruguay yaliyumiwa kuficha mapato kutokana na uuzaji wa haki za picha za mchezaji huyo.

Lakini Messi amesema hakufahamu lolote kuhusu masuala yake ya kifedha


Messi kulia na baba yaker Jorge wakiwa mahakamani
News alert: Oscar Pistorius afungwa jela miaka sita bofya hapa 
Tazama videro hii Messi akiwa Mahakamani
 
 HABARI KUU LEO BOFYA HAPA 
















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA



















Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top