MKE MPYA WA KING MSWATI 2016


 MKE MPYA WA KING MSWATI 2016
Ni utamaduni wa nchi ya Swaziland Mfalme Mswati , hutakiwa kuchagua mke wake mmoja kila mwaka, Mabinti warembo na mabikra hukusanywa
kila pande za nchi hiyo, na kujipanga huku wakiwa nusu uchi ili mfalme apite kuchagua mmoja wao. Familia ambayo binti yao atabahatika kuchaguliwa kuwa mke wa mfalme hujisikia fahari na furaha kuu kumuozesha bintie kwa Mfalme.Jamii isiyopendezwa na utaratibu huu inasema,Utawala wa kifalme nchini Swaziland unaongozwa na mfalme Mswati umetakiwa kufutilia mbali sherehe maarufu za kitamaduni baada ya wasichana kadha waliokuwa wakisafiri kwenda kwa sherehe hizo kufa kwenye ajali ya barabarani.
Kundi linalounga mkono demokrasia nchini humo la (the Swaziland Solidarity Network) limetoa wito kwa mfalme Mswati kufutilia mbali sherehe hizo ambazo wasicha walio nusu uchi hucheza mbele ya mfalme. Dunia pia inalaani kitendo chake. Je Dunia inamuonea wivu? Tupe maoni yako



HABARI KUU LEO BOFYA HAPA 
















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


















Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top