Breaking News: Wabunge wa CHADEMA Kubenea na James Millya wasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge


Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. Kubenea asimamishwa kuhudhuria vikao vitano kuanzia leo kwa kusema kuwa waziri wa ulinzi Mh Mwinyi anajenga nyumba yake na nyumba za jeshi kwa kutumia
kampuni ambayo aliitaja..baada ya kuombwa kutoa ushahidi alishindwa kuthibitisha hivyo amesimamishwa kuhudhuria vikao vitano kwa kusema uongo bungeni. Vivyo hivyo Mbunge wa Jimbo Simanjiro James Millya naye amesimamishwa vikao vitano kuanzia leo, kwa kusema uongo bungeni


News alert: Hivi ndivyo walivyovaa wabunge wa UKAWA leo, watoka na mabango bofya hapa
 Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo alhamisi June 30, 2016 Bofya hapa
News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  





Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top