News alert: Hivi ndivyo walivyovaa wabunge wa UKAWA leo, watoka na mabango



Wabunge wa Ukawa wameendelea kutoka nje ya ukumbi wa bunge kuendeleza msimamo wao wa kutokushiriki vikao vyote vinavyoongozwa na
Naibu Spika.

Leo wabunge wa UKAWA wote wamevaa mavazi meusi, na baada ya dua wameendelea na msimamo wao wa kutoka nje ya Bunge wakiwa wamebeba mabango mara tu baada ya Naibu Spika kuanza kuongoza kikao cha Bunge baada ya Dua ya kuliombea bunge. Je hii ina maana gani



News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA


Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top