AJALI: Masihara ya madereva yasababisha vifo na majeruhi wengi Singida

 Taarifa ya kusikitisha sana leo mchana mabasi mawili ya Kampuni ya City boys moja likiwa linatoka Jijini Dar es salaam kwenda Kahama Shinyanga na jingine likitoka
  Shinyanga kwenda Dar es salaam, Yamegongana uso kwa uso kutokana na uzembe na Masihara ya madereva hao wawili wa kampuni moja ambao kabla ya kupishana walionekana wakichezea magari hayo kama wanataka kugongana kama ishara ya kusalimiana, bahati mbaya kwa vile walikuwa kwenye mwendo kasi walishindwa kuyamudu. Lengo lao ilikuwa kufanya utani na masihara kama wanataka kugongana kama ilivyo desturi yao wamekuwa wakifanya hivyo mara kwa mara, mwendo kasi ukawafanya washindwe kurudi kwenye upande sahihi wa kila mmoja na kusababisha kugongana uso kwa uso, Taarifa ambayo imethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida hadi sasa watu 29 wamepoteza maisha na wengine wengi wamejeruhiwa , endelea kufutilia blog hii kwa habari zaidi.Picha zaidi za ajali bofya hapa
 

News alert:Mtuhumiwa wa Ujambazi Maduka ya Pesa, Mauaji Msikitini Awatoroka Polisi aliwatorokaje bofya hapa















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top