News alert: Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) asimashwa kuhudhuria vikao 10 vya bunge la 11 kuanzia leo


Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi alituhumiwa kwa kuonyesha kidole chake cha kulia cha kati huku vingine vimekunjwa. Akisoma maamzi ya kamati ya Madili leo bungeni Mh Mkuchika alisema
, kitendo ambacho kimetafisriwa kama alama ya matusi, maana yake kuingiliwa kinyume cha maumbile kwa mwanamke ama mwanaume. Akiongea na kamati kwenye mahojiano Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) alisema alikasilishwa na mbunge wa CCM aliyemtukana matusi kwa mama yake hivyo akamwonyesha alama ya kidole akidai kuwa ni kupinga kutukanwa na wala sio matusi.
Baada ya Mh. Joseph Mbilinyi kukubali kafanyiwa hivyo, kamati ilimtaka amtaje mbunge aliyemtukana na kumwonyesha alama ya kidole cha kati, alisema hakumwona mbunge huyo. Kamati iliendelea kufanya uchunguzi ili kujua kama kitendo hicho ni tusi, baada ya kuchunguza katika nyanja mbalimbali kama michezo.Kamati ilibaini kuna wachezaji waliowahi kupewa adhabu kali kwa kufanya kitendo kinachofanana na hicho. Kamati inakubaliana kitendo alichokifanya Joseph Mbilinyi ni tusi na imetafisriwa kuwa alidhalau mamlaka ya spika na hivyo kukiuka kifungu cha 24 b,  hivyo anatamka kuwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) kusimamishwa kuhudhuria vikao 10 vya bunge la 11 kuanzia kikao cha leo.
 Breaking News: Wabunge wa CHADEMA Kubenea na James Millya wasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge bofya hapa
News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top