BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI

 Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Ndg.Emile Ntakamulenga, ambaye alitolewa kwenye
ukumbi wa kiapo kwa kile kilichoelezwa kuwa aliteuliwa kimakosa

. Rais amemteua Ndg.Nurdin Babu kujaza nafasi hiyo. Kabla ya kutengua uteuzi wa Ntakamulenga, Rais pia alishatengua uteuzi wa DC wa Ikungi Ndg.Fikiri Avias na kumteua Bw.Miraji Mtutura ambaye alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza kujaza nafasi hiyo. 

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top