Profesa aliyebeba mtoto mgongoni wakati akifundisha apata sifa


Professor Honore Kahi

Profesa mmoja wa chuo kikuu amesifiwa pakubwa nchini Ivory Coast kwa kumbeba mtoto wa mmoja wa wanafunzi wake mgongoni wakati

wa masomo.

Picha za Honore Kahi wa chuo cha Bouake, zimesambaa pakubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Alisema aliamua kumsaidia mwanamke katika darasa lake wakati mtoto alianza kulia.

Picha zilizochukuliwa na mwanafunzi mwingine zinamuonyesha, bwana Kahi akifunza huku mtoto akiwa mgongoni.





News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI Bofya hapa Tundu Lissu aitwa tena Jeshi la Polisi, ni kuhusu kauli yake ya jana Kisutu HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA






Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top