Home » Posts filed under LEO TV
Sikiliza na Pakua Music Audio: John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua
UCHAMBUZI MEDIA (www.uchambuzileo.com), inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayefahamika kwa jina la John Lihawa akiwa amemshirikisha
VIDEO: Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA
RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26 kupelekwa kuwekwa kwenye akaunti maalumu( Fixed Account) katika benki kadhaa za biashara.
==> Msikilize hapo chini
VIDEO:Trump na Clinton wapambana tena katika mdahalo
wagombea Urais Marekani katika mdahalo
Wagombea
Urais nchini Marekani Donald Trump na Hilary Clinton wamechuana tena
katika

















