PICHA: Swala ya Eid El-Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga, Dar mapema leo asubuhi



Katika kushereea sikukuu ya Eid El Fitr, kumefanyika swala ya Eid katika viwanja vya Mwembe Yanga, Dar es Salaam na waumini wa dini ya Kiislam walipata nafasi ya kusali kwa pamoja kumshukuru Mungu kwa
kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhani salama.

Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo.Mratibu wa swala hiyo ya Ed El-Fitr, Sheikh Othman Abdallah Dishi (kulia), akizungumza katika swala hiyo.Watoto wakishiriki swala hiyo.Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo.Ibada ikiendelea.Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr.Waumini wa dini ya kiislam wakiswali kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwa unyenyekevu mkubwa katika swala hiyo.
Credit:Mo Blog

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA 
















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


















Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top