Breaking News:Kesho Sikukuu ya EID Jumatano July 06, 2016

 Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zuberi alipokuwa akizungumza muda mfupi na mwandisha wa habari
wa Channel Ten LIVE kwenye taarifa ya habari ya saa moja kamili jioni leo Jumanne July 05, 2016. Mufti Zuberi  Amethibitisha kuwa mwezi umeonekana leo , hivyo kesho ni SIKUKUU ya Eid Video:Mufti Abubakary Zuberi akithibitisha mwezi kuandama, na kutoa ratiba ya kesho ya Sikukuu ya EID Bofya hapa. Kwa niaba ya wafanyakazi wa Uchambuzileo napenda kuwatakiwa waislam wote sikukuu njema asanteni
 HABARI KUU LEO BOFYA HAPA


















Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top