TFF Leo wamejichanganya kwa Muro, Arudi kidedea

Jerry Muro-Afisa habari klabu ya Yanga

Leo afisa habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro aliitikia wito wa barua yake kutoka TFF iliyomtaka kufika mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo inadaiwa, Jerry Muro ameonyesha waziwazi
kupingana na maamuzi pamoja na kuishambulia TFF kwenye Vyombo vya habari.

Mapema leo Afisa habari wa Yanga Jerry Muro alifika ofisi za TFF na kugoma kuingia ndani kwa madai kuwa barua yake ya wito haielezi kwa kina nani ama kamati gani inatakiwa kumuhoji, baada ya mabishano hayo ya kisheria, TFF wamekiri kuwa barua iliandikwa kimakosa hivyo wameagiza aandikiwe barua nyingine ya wito. 
Afisa habari wa Yanga Muro aliondoka katika ofisi za TFF bila kufanyiwa mahojiano, atasubiri barua nyingine ya wito ambayo itakuwa na maelezo ya kina.



  Tujikumbushe barua iliyoandikiwa na TFF kwenda kwa Jerry Muro kwa ajili ya kumtaka msemaji huyo wa Yanga kufika mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili.


Tamko la RC Makonda kuhusu mashoga waliopo jijini Dar es Salaam 

Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumamosi Juni 02, 2016 bOfya hapa 


 Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa

 Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa









Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top