Msuva ang'aa, Yanga yakwea kileleni




Yanga imepaa hadi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara mara baada ya ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo

Maamuzi yaliyofikiwa na Simba kwenye mkutano wa dharura



Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Kahemele, zaidi ya 98% ya wanachama waliohudhuria mkutano wameunga mkono agenda mabadiliko ya katiba iliyopelekwa kwenye

Yanga inyang’anywe pointi zote kwa kumtumia Kessy – Rage

Ismail Aden Rage-Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC

Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni 50 kama

TFF imetoa uamuzi kuhusu sakata la Hassan Kessy



Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imebaini mambo yafuatayo ambayo yanapaswa kuchukuliwa

Kiungo Mghana aja na mkwara Simba



James Kotei
 KIUNGO mkabaji wa Ghana, James Kotei amewasili nchini juzi na kutamba kuwa yeye ni wa kusajiliwa Simba na si wa kufanya majaribio

Mkude awashusha presha Simba SC




Nahodha wa Simba, Jonas Mkude
  HATIMAYE nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameifuata timu yake kambini Morogoro na kuwatuliza mashabiki na wanachama wa timu hiyo kwa kuwamabia

Lwandamina hesabu kali

Kocha wa Yanga, George Lwandamina
 

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina amesema anakazania suala la ukokotaji mpira kwa wachezaji wake, kama njia rahisi ya kuwasaidia

Mzee Kilomoni amefeli kuzuia mkutano wa Simba



Mahakama ya Wilaya ya Ilala metoa ruhusa kwa klabu ya Simba kufanya mkutano maalum wa dharura uliopangwa kufanyika December

Mayanja kasema kinachoendelea Morogoro



Baada ya kuanza mazoezi mkoani Morogoro, kocha msaidizi wa Simba SC Jackson Mayanja amesema, wanatarajia kufanya mazuri kama walivyofanya katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

YANGA YATANGAZA KUACHA NA MBUYU TWITE RASMI




Na.Alex Mathias

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara klabu ya Yanga imethibitisha rasmi kuachana na kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi uwanjani,Mbuyu Twite na nafasi

Trump aahidi Marekani kujitoa kwenye biashara na Pasifiki



Hii ni moja ya mipango ya Trump alipokuwa akiwania madaraka ya Urais

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema kuwa siku yake ya kwanza madarakani atatoa tamko la kujiondoa katika mpango wa biashara ya ubia

Top 10 ya ma-star wa soka wanaomiliki mijengo ghali zaidi duniani



Kwa hakika mchezo wa soka unawalipa sana wanachezaji na hiyo imewafanya wengine kumiliki mijengo ya maana pengine sawa na matajiri wengine wakubwa duniani.

Maneno ya Mayanja baada ya Simba kupigishwa kwata na ‘wajelajela’ original



Baada ya kuchezea kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa ‘wajelajela’ wa Mbeya, kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema, walifanya kila wawezalo ili kuondoka na pointi tatu dhidi ya wapinzani wao

AUDIO: Style ya Italia iliimaliza kabisa Simba – Kocha African Lyon





Kocha mkuu wa African Lyon Bernardo Tavares amesema waliamua kutumia style ya Italia kuimaliza Simba kwenye mchezo wa jana Jumapili na kufanikiwa kuondoka na pointi tatu mbele ya Simba ambao kabla
Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top