Video&Ubunifu:Adam wa Adam Auto Garage wa Tunduma aunda Helkopita huyu ni Mtanzania mwezetu, Kumbe inawezekana



Hata mbuyu ulianza kama uyoga. Na Bw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe amedhihirisha hilo kwa kuunda helikopta inayotumia injini ya gari ambayo anasema anatarajia
kuirusha siku Mwenge wa Uhuru utapofika mjini hapo. Picha za ubunifu huu zimesambaa kwenye mitandao ya jamii ila cha ajabu hakuna mamlaka iliyoshituka.
Bw. Adam akipongezwa kwa ubunifu wake ambao mamlaka husika zinaombwa kwenda na kuangalia namna ya kutumia kipaji hiki cha aina yake kwa maendeleo ya Taifa
Wananchi wakiishanga helikopta ya Adam Auto Garage mjini Tunduma
Bw. Adam na timu yake


Hakika hakuna kisichowezekana chini ya Jua

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top