MAAMUZI YA TTF KUHUSU SAKATA LA JERRY MURO


Jerry Muro-Afisa habari klabu ya Yanga

Taarifa zinazozidi kusambaa kwenye mitatandao ya kijaamini ni kwamba, Ofisa Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro amefungiwa kujihusisha na mambo
ya soka kwa mwaka mmoja.

Ripoti zinadai kwamba, uamuzi huo umetolewa leo(jana) Juni 7 na kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF).(JERRY MURO: HAKUNA WA KUNIPUNGUZA KASI bofya hapa)

Kwa mujibu wa barua ya TFF iliyosainiwa Juni 29, 2016 na Katibu Mkuu Mwesigwa Selestine, TFF ilikuwa inamtuhumu Muro kupingana na maamuzi pamoja na kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari.

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top