Baada ya Ufaransa Kufanikiwa kuifunga Ujerumani hizi ndizo rekodi zilizowekwa



Rekodi zilizowekwa baada ya mchezo huo
Ufaransa ni nchi ya kwanza kufika fainali ya Euro ikiwa nchi mwenyeji wa mashindano (mara ya kwanza ilikuwa 1984)
Ufaransa wamefunga Ujerumani
kwenye michuano mikubwa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1958. Ni mchezo wao wa kwanza pia kutoruhusu goli dhidi ya Ujerumani. ( Ufaransa yatinga fainali, Ujerumani nje Bofya hapa)
Ujerumani wamepoteza nusu fainali yao ya nne kati ya sita kwenye michuano mikubwa (2006, 2010, 2012, 2016).
Bastian Schweinsteiger amecheza mchezo wake wa 38 kwenye michuano mikubwa, michezo mingi zaidi ya mchezaji yeyote kwenye historia ya Kombe la Dunia na michuano ya Ulaya.
Michel Platini bado anashikilia rekodi ya magoli mengi zaidi kwenye msimu mmoja wa michuano ya Euro (magoli 9 Euro 1984) magoli matatu zaidi ya Antoine Griezmann aliyefunga magoli 6 hadi sasa Euro 2016
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa July 08, 2016 bofya hapa

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top