Usajili: SAID MORAD ATUA MSIMBAZI



Simba imemsajili Said Morad aliyemaliza mkataba wa kuitumikia klabu ya Azam FC ili kuziba nafasi ya Hassan Isihaka ambaye ameenda Mbao FC ya Mwanza mkopo.Morad amemaliza mkataba wake wa mwaka
mmoja aliopewa msimu uliopita lakini baada ya mkataba huo kumalizika hajapewa mkataba mpya wa kuendela kubaki Chamazi.

Simba imemtoa Isihaka kwa mkopo baada kushindwa kuendelea kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha jeshi la Msimbazi.

Ikumbukwe nyota huyo aliyechipukia kutoka kwenye timu ya vijana ya Simba, msimu uliopita alihitilafiana na kocha wake Jackson Mayanja baada ya kugoma kucheza kwenyechezo wa kombe la FA dhidi ya Singida United

CHADEMA Waapa Kutibua Mkutano wa CCM ,Vijana 2000 Kupelekwa Dodoma Kwa Ajili ya Kazi Hiyo Bofya hapa

 Video:Chadema kuzuia Mkutano wa CCM wa kuchagua mwenyekiti wa chama Bofya hapa
Habari zilizopo katika Magazeti ya leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa

Vibonzo: Katuni tano bora zaidi leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa

TFF wajichanganya kwa Muro bofya hapa

Tamko la RC Makonda kuhusu mashoga waliopo jijini Dar es Salaam 


 Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa

 Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa









Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top