Manchester City yamsajili Nolito


Nolito
Manchester City imemsajili mshambuliaji wa Uhispania Nolito kutoka kilabu ya Celta Vigo kwa pauni

milioni 13.8.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameweka kandarasi ya miaka minne na hivyobasi kuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na klabu hiyo.

Meneja mpya Pep Guardiola tayari amemsajili IIkay Gundogan kutoka Borussia Dortmund kwa pauni milioni 20 pamoja na beki wa Australia Aaron Mooy. 



 Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa

 Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa









Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top