Euro 2016: Iceland yatolewa na Ufaransa

Dimitri Payet akibusu kiatu cha Antonie Griezmann baada ya kufunga bao


Iceland wameondoka katika Euro lakini kwa hakika watabaki katika vinywa vya wapenzi wa Soka. Nahodha wao Aron Gunnarsson amesema kwa hakika
huu ni mwanzo wao wa kuanza kukwea jukwaa la kimataifa.

Anasema kile walichokipata jana katika Stade de France kimewasikitisha lakini wanajivunia ushiriki wao kwani umewajenga sana.

Sasa wanajipanga katika kuwania kufuzu kushiriki kwa mara ya kwanza katika kombe la Dunia litakalofanyika Urusi mwaka 2018 wakiwa kwenye kundi ambalo lina Croatia, Ukraine, Finland, Uturuki na Kosovo.

Inakadiriwa asilimia 10 ya Raia wote wa nchi walikuwa wamesafiri kuja kuishabikia timu yao.

Michuano hii pia imetumika kuwatangaza wachezaji na sasa tutaanza kukona wakienda huku na kule, kwa mfano mshambuliaji Hal Robson Kanu wa Wales ambaye ameachwa huru na Reading mwishoni mwa msimu wa 2015-16 hivi sasa ameanza kutakiwa huku na kule na hasa baada ya bao lake lile alilogeuka katika kumi na nane akawabamiza ubelgiji na kuipeleka Wales nusu fainali.


Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatatu July 04, 2016  


Vibonzo:Katuni bora zaidi leo Jumatatu July 04, 2016 Bofya hapa 

LOWASSA APIGIWA SALUTI NA WANAJESHI LEO JUMAPILI JULY 03, 2016  Bofya hapa
CHADEMA Waapa Kutibua Mkutano wa CCM ,Vijana 2000 Kupelekwa Dodoma Kwa Ajili ya Kazi Hiyo Bofya hapa 

 Video:Chadema kuzuia Mkutano wa CCM wa kuchagua mwenyekiti wa chama Bofya hapa
Habari zilizopo katika Magazeti ya leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa

Vibonzo: Katuni tano bora zaidi leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa

TFF wajichanganya kwa Muro bofya hapa

Tamko la RC Makonda kuhusu mashoga waliopo jijini Dar es Salaam 


 Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa

 Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa









Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top