AZAM YAMLETA GOLIKIPA MZUNGU TOKA HISPANIA MBIONI KUMSAJILI

 
Juan Jesus Gonzalez akiwa amepokelewa na aisa habari wa Azam FC Jafar Idd (Picha na Azam FC)

Klabu ya Azam FC imemdondosha golikipa Juan Jesus Gonzalez kwa ajili ya kufanya majaribio ili kutafuta nafasi ya kusajiliwa na klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa VPL pamoja na mashindano mengine ya ndani na yale ya kimataifa.

Jafar Idd Maganga amethibitisha ujio wa golikipa huyo mzungu ndani ya Azam FC kutoka bara la Ulaya.

“Leo tumempokea golikipa mmoja kutoka Hispania anaitwa Jesus Gonzalez, tumepokea mchana wa leo akitokea Hispania atakuwa ni miongoni mwa wachezaji wanaokuja kufanya majaribio kuelekea msimu ujao,” amesema Jafar Idd wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Spots ExtrA cha Clouds FM.

“Ilikuwa si rahisi kwa uongozi kuwaalika wachezaji au kuingia mkataba na wachezaji kabla ya mwalimu hajafika, mwalimu tayari amefika kwahiyo wachezaji wataalikwa kutoka nchi mbalimbali za Afrika, wale ambao ataona wanafaa watasajiliwa na Azam FC.”
  Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatatu July 04, 2016  


Vibonzo:Katuni bora zaidi leo Jumatatu July 04, 2016 Bofya hapa 

LOWASSA APIGIWA SALUTI NA WANAJESHI LEO JUMAPILI JULY 03, 2016  Bofya hapa
CHADEMA Waapa Kutibua Mkutano wa CCM ,Vijana 2000 Kupelekwa Dodoma Kwa Ajili ya Kazi Hiyo Bofya hapa 

 Video:Chadema kuzuia Mkutano wa CCM wa kuchagua mwenyekiti wa chama Bofya hapa
Habari zilizopo katika Magazeti ya leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa


Vibonzo: Katuni tano bora zaidi leo Jumapili July 03, 2016 Bofya hapa

TFF wajichanganya kwa Muro bofya hapa

Tamko la RC Makonda kuhusu mashoga waliopo jijini Dar es Salaam 


 Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa

 Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa









Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top