News alert:Bunge kuonyeshwa moja kwa moja 'LIVE' leo TBC1 vipindi vyote


Taarifa iliyotolewa hivi punde na televishioni ya Taifa TBC1 ni kuwa, Leo kikao cha bunge kitaonyeshwa moja kwa moja muda wote, lengo la
kufanya hivyo ni kuwapa fursa wananchi kusikiliza hotuba ya Waziri Mkuu Majaliwa pindi atakapo toa hotuba ya kuahirisha bunge leo hii, Ikumbukwe kuwa Bunge la bajeti limefanya mkutano wake takliban miezi mitatu, hivyo leo linafikia hitimisho la Mkutano wake wa bajeti.

News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top