Mbunge atemeshwa U-DC baada ya kuteuliwa kimakosa


Rais John Magufuli akiwa na Marais wastaafu 

Rais John Magufuli ameendelea kutofautiana kimkakati na watangulizi wake, akisema hakuna mtu atakayeshikilia vyeo viwili kwa wakati mmoja baada ya
kumteua kimakosa mbunge kuwa mkuu wa wilaya.


Mfumo huo wa Rais Magufuli unakwenda tofauti na watangulizi wake, Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa ambao waliteua wabunge kuwa wakuu wa mikoa na wilaya.

Dk Magufuli alibainisha hilo jana wakati akitoa ufafanuzi uamuzi wake wa kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Fatma Hassan Toufiq.

“Mtu mmoja kazi moja,” alisema Rais Magufuli baada ya kufafanua kuwa kuna makosa yalifanywa wakati wa uteuzi huo.


News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top