
alikuwa Mwenyekiti, na kilihudhuriwa na Katibu MKuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kwa ajili ya kujadili Muswada wa Habari.
Mbowe alisema kuwa Wabunge wakiwemo Mawaziri walihongwa shilingi milioni 10 kila mmoja ili waweze kusaidia kupitisha Muswada wa Habari unaotarajiwa kuwasilishwa Bungeni kesho.
Lakini Naibu spika alikataa Waziri mkuu kujibu swali la Mbowe kwa madai kuwa swali hilo halihusu sera, huku Mbowe akidai linahusu sera kwa kuwa ni rushwa kwa wabunge
==> Wasikilize Hapo chini
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)