Sikiliza na Pakua Music Audio: John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua



UCHAMBUZI MEDIA (www.uchambuzileo.com),  inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayefahamika kwa jina la John Lihawa akiwa amemshirikisha
muimbaji mwenzake anayefaamika kwa jina la Lydia Thom na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Kama Joshua ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Tuners Production chini ya mikono ya producer Kassumper Mashati akishirikiana na producer Edwin Mrope kutoka jijini Dar es salaam. gospomedia.com tumekuwekea wimbo huu uweze kuusikiliza na kuupakua kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wengine wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Kama Joshua na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!
Bofya hapa chini kusikiliza

CREDIT: gospomedia.com 

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji John Lihawa wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 657 768 786
Facebook: John Lihawa
Instagram: @johnlihawa


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top