Video mpya ya Navy Kenzo – Feel Good Ft. Wildad (Official Music Video)





Kundi la muziki kutoka nchini Tanzania, Navy Kenzo linaloundwa na wasanii wawili Aika na NahReel jana Novemba 29 wameachia
video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Feel Good. Itazame video hiyo hapa chini.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top