MURO KIKAANGONI TFF

Jerry Muro-Afisa habari klabu ya Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemwandikia barua ofisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro likimuita kwenye kujitetea kwenye kamati ambayo itakaa siku ya Jumamosi Julai 2.

Kwa mujibu wa barua ya TFF iliyosainiwa Juni 29, 2016 na Katibu Mkuu Mwesigwa Selestine, TFF inamtuhumu Muro kupingana na maamuzi pamoja na kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari.

Hii hapa ni barua iliyoandikiwa na TFF kwenda kwa Jerry Muro kwa ajili ya kumtaka msemaji huyo wa Yanga kufika mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili.

Credit:Shaff








Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top