Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Joseph Omog kama kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi baada ya timu hiyo kudumu kwa muda mrefu chini ya Jackson Mayanja aliyeajiriwa kama kocha msaidizi.
Omog ambaye ni raia wa Cameroon amesaini mkataba wa miaka miwili kuhudumu Simba kuanzia leo Julai 1, 2016.
Kocha huyo amerudi kwa mara ya pili kwenye ardhi ya Bongo na VPL baada ya awali kuifundisha klabu ya Azam FC na kufanikiwakuipa taji la ligi kuu kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo msimu wa 2013-14.
Simba pia wamemtambulisha Katibu Mkuu wao Bw. Patrick Kahemele ambaye kwa mujibu wa mkataba wake ameanza kazi rasmi leo Julai 1, 2016.

Hatimaye TAKUKURU na TRA Wamtaja Mtu Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Kila Dakika Bofya hapa
Ufafanuzi wa TRA kuhusu ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha Bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA