Bad news:Ajali mbaya nyingine yatokea morogoro Malori mawili yagongana na kuwaka moto


Picha ya Maktaba
Taarifa zilizotufika punde malori mawili yamegongana Mkoani Morogoro ambapo taarifa zinasema
Lori moja limewaka moto na kuteketeza watu waliokumemo ndani yake, hatujapata idadi kamili ya watu waliopoteza maisha

Ikumbukwe kuwa mapema leo ajali nyingine ilitokea eneo la Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.


Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.

Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.
Source:TBC1








Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top