MBUNGE wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana, mara baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi Kanda
Maalum ya Dar es salaam kufuatia kauli yake aliyoitoa jana inayoelezwa kuwa si ya kiungwana.
Mbunge huyo amehojiwa kwa saa tatu kuhusiana na maneno mengine ambayo anadaiwa kuyaandika kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni ya uchochezi.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam leo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amekiri kuwa Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana na hataachiwa leo, hivyo atalala huko mpaka kesho.
Hii ndiyo kauli aliyotoa jana Mh. Tundu Lisu
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI Bofya hapa Tundu Lissu aitwa tena Jeshi la Polisi, ni kuhusu kauli yake ya jana Kisutu HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA
RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa
Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
HABARI KUU LEO BOFYA HAPA