TP Mazembe yapata Pigo Kubwa

Katumbi, 51, ambaye ni mmiliki wa timu ya TP Mazembe leo ametiwa hatiani kwa kuuza jengo kinyume cha sheria huko Lumbumbashi ambako ni makao makuu ya biashara zake.Ikumbukwe pia Katumbi alikuwa Mgombea urais kwa tiketi ya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela Bofya hapa, kwa habari zaidi
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top