UKAWA waamua kuwanunia wabunge wa CCM sasa hakuna kuongea

Sakata la la wabunge wa UKAWA kususa vikao vya bunge limechukua sura mpya jana baada ya wabunge wa UKAWA kuamuza kutozungumza na
wenzao wa CCM na kutoshirikiana nao kwa chochote iwe michezo, kutumia katini ya bunge na masuala yote ya kijamii, sababu kuu ya Ukawa kufanya hivyo wanadai CCM wabewabagua katika mkutano wa bunge. Jana asubuhi wabunge wa CCM Richard Ndasa (Sumve) na Kangi Lugola (Mwibara) walieleza kutojibiwa salamu zao na wabunge wa ukawa na kueleza kitendo walichokifanya ni jambo la kusikitisha.Ndasa alitoa Ushuhuda kuwa jana saa 2:43 asubuhi kabla ya kikao kuanza alienda walipokua wamekaa wabunge wa Ukawa Msingwa na Kubenea kwa lengo la kuwapa salamu sakini hawakuitikia.

Video:Rais Dkt Magufuli atamka rasmi kusitishwa ajira mpya serikalini hii ndio sababu ya kufanya hivyo Bofya hapa

 Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 22, 2016 bofya hapa

News alert:Afikishwa Mahakamani kwa kumdhalilisha Rais kwenye mtandao wa whatsApp hivi ndivyo alivyoandika bofya hapa

Vibonzo: Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 22, 2016 Bofya hapa


Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
MM
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top