News alert:Afikishwa Mahakamani kwa kumdhalilisha Rais kwenye mtandao wa whatsApp






Mtu mmoja mkazi wa Jiji la Dar es salaam, anakabiliwa na mashataka baada ya kusambaza maoni yake ya mtandao wa WhatsApp akimuita rais john Pombe magufuli mpumbavu.

Mulokozi Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria

uhalifu wa mtandaoni.

Ni mtu wa pii kushtakiwa chini ya sheria hiyo kwa kumtusi rais.

Sheria hiyo ilikosolewa sana kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza wakati ilipoanzishwa mwaka uliopta.

Hivi ndivyo alivyoandika:''Kwani rais Magufuli hana washauri?haushauriki? Ama ni mjinga tu?Ni Mpumbavu sana;Haangalii sheria iliopo kabla ya kufungua mdomo ama anaugua ugonjwa wa Mnyika''?
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top