News alert: Rais Magufuli Aeleza Sababu ya Kutengua Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya Ya Ikungi

Juni 26 mwaka huu Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuteua Wakuu wa Wilaya zote nchini, na Wakuu wa Mkoa watatu. Kati ya Wakuu wa Wilaya 139 walioteuliwa, 39 wamebakishwa katika nafasi zao
huku 100 wakiwa ni wapya.


Katika hali ya kushangaza siku moja baada ya orodha hiyo kutangazwa, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa mkuu wa wilaya ya Ikungi iliyopo mkoani Singida. Rais Magufuli alitengua uteuzi wa Bwana Fikiri Avias Said ndani ya masaa 24 tangu uteuzi wake.


Sababu kuu ya Rais kutengua Uteuzi huu ameisema leo hii wakati wa hafla ya kuwaapisha Wakuu wote walioteuliwa, ni kwamba jina lilikosewa, na kusema kwamba Mkuu wa Wilaya halali wa Ikungi ni Bwana Miraji Mtaturu ambaye ni Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza,
Breaking News: Wabunge wa CHADEMA Kubenea na James Millya wasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge bofya hapa


News alert: Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) asimashwa kuhudhuria vikao 10 vya bunge la 11 kuanzia leo bofya hapa


News alert: Hivi ndivyo walivyovaa wabunge wa UKAWA leo, watoka na mabango bofya hapa
News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI Bofya hapa 

 Tundu Lissu aitwa tena Jeshi la Polisi, ni kuhusu kauli yake ya jana Kisutu HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa

Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top