Ndege aina ya helikopta
habari hii imeshangaza watu wengi na imekuwa gumzo mtandaoni kwamba taifa la Tanzania linaunda ndege.
Gazeti la Tanzania la Daily News
limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa barani Afrika kwa kasi.
limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa barani Afrika kwa kasi.
Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana na matatizo ya uchukuzi nchini humo.
Huku gazeti la Cameron, Concord likisema kuwa mradi huo ni wa kihistoria linaongezea kuwa lengo lake ni kutengeza ndege 20 kwa mwaka.
Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu wawili inakaribia kukamilika katika chuo cha ufundi cha Teknolojia cha Arusha na itaanza kufanyiwa majaribio ya kuruka angani baada ya kuruhusiwa na mamlaka ya uchukuzi wa angani nchini Tanzania kulingana na Daily News.
Video:Rais Dkt Magufuli atamka rasmi kusitishwa ajira mpya serikalini hii ndio sababu ya kufanya hivyo Bofya hapa
UKAWA waamua kuwanunia wabunge wa CCM sasa hakuna kuongea hii ndio sababu waliotoa bofya hapa
Vibonzo: Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 22, 2016 Bofya hapa
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 22, 2016 bofya hapa
News alert:Afikishwa Mahakamani kwa kumdhalilisha Rais kwenye mtandao wa whatsApp hivi ndivyo alivyoandika bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
HABARI KUU LEO BOFYA HAPA