Pele kupiga mnada medali zake zote

Pele kupiga mnada medali zake zote
Nyota wa soka kutoka Brazil, Pele, ameamua kupiga mnada medali zote alizoshinda na vitu vingine vyenye dhamani alivyopata wakati alipokuwa mchezaji nguli duniani .Mnada huo utakaodumu muda wa siku tatu, unaanza leo mjini London

Mnada huo utakaodumu muda wa siku tatu, unaanza leo mjini London na unatarajiwa kukusanya mamilioni ya pesa.Baadhi ya medali za Pele zitakazouzwa leo mjini London

Wataalamu wanasema huenda mnada huo ukawa ndio mkubwa zaidi wa vifaa vya michezo kuwahi kufanyika.Medali zote alizoshinda wakati wa kombe la dunia pia zitauzwa

Medali zote alizoshinda wakati wa kombe la dunia pia zitauzwa wakati wa mnada huo.Viatu alivyochezea katika kombe la dunia

Nyota huyo wa zamani amesema atatoa sehemu ya fedha zitakazo patikana kwa mashirika ya kutoa misaada na kuongeza kwamba angelipenda historia yake kufurahiwa na kuonyesha katika makaazi ya watu na makavazi kote duniani.Pele ambaye alianza kuchezea Brazil mika 60 iliyopita anasalia kuwa mfungaji bora zaidi wa mabao nchini humo.

Pele ambaye alianza kuchezea Brazil mika 60 iliyopita anasalia kuwa mfungaji bora zaidi wa mabao nchini humo.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top