Licha ya kuokoa Sh6 bilioni, Ofisi ya Bunge la Muungano ni miongoni mwa taasisi tisa ambazo Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imependekeza zichunguzwe na Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya kuonyesha viashiria vya rushwa.
Hilo ni moja ya mapendekezo yaliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, baada ya taasisi hizo kukaguliwa na kuonyesha uwapo wa viashiria vya rushwa wakati wa utekelezaji wa ununuzi ya umma.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Marten Lumbanga alisema baada ya kufanya ukaguzi na kubaini dosari kadhaa wamependekeza hatua mbalimbali zichukuliwe.
Vilevile, Bodi imependekeza hatua za nidhamu kuchukuliwa dhidi ya watumishi waliohusika kwenye miradi 15 iliyopata alama mbaya kwenye ukaguzi wa kupima thamani halisi ya fedha.
Mpina ataka wanaosoma 'cheti' nao wapewe mikopo bofya hapa
Pato La Taifa Lakua Kwa Asilimia 7.9 bofya hapa
Maalim Seif 'Kumshitaki' Lipumba kwa mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) bofya hapa
UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
Manispaa ya Temeke kugawanywa bofya hapa
Mapokezi ya viongozi CUF yaota mbawa bofya hapa
Wachambuzi wa uchumi watoa neno kwa ATCL bofya hapa
Wawakilishi wapitisha marekebisho ya Katiba ya Zanzibar bofya hapa
Simba, Yanga mwendo wa kimya kimya bofya hapa
Korti yatupa kesi dhidi ya Pierre Nkurunziza bofya hapa

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)