Rais John Magufuli
Ule msemo wa kulala maskini na kuamka tajiri, wanaoweza kuulezea vizuri ni mgambo 30 na askari waliopitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) 40, ambao bila kutegemea wamehakikishiwa ajira kwenye Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli.
Rais Mgufuli alitoa agizo la kuajiriwa askari hao kwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kuridhika na namna walivyojituma na uamuzi wao kujitolea kushiriki mazoezi ya mwezi mmoja ili kujiweka katika hali ya ukakamavu.
Mazoezi hayo ambayo kwa kitaalamu yanaitwa ‘amphibious landing’ yalifanyika Kijiji cha Baatini wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ.
Rais Magufuli aliyekuwa ameongozana na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein walishuhudia mazoezi ya kijeshi ya kukomboa eneo lililotekwa na maadui kwa ukanda wa majini.
Mpina ataka wanaosoma 'cheti' nao wapewe mikopo bofya hapa
Pato La Taifa Lakua Kwa Asilimia 7.9 bofya hapa
Maalim Seif 'Kumshitaki' Lipumba kwa mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) bofya hapa
UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
Manispaa ya Temeke kugawanywa bofya hapa
Mapokezi ya viongozi CUF yaota mbawa bofya hapa
Wachambuzi wa uchumi watoa neno kwa ATCL bofya hapa
Wawakilishi wapitisha marekebisho ya Katiba ya Zanzibar bofya hapa
Simba, Yanga mwendo wa kimya kimya bofya hapa
Korti yatupa kesi dhidi ya Pierre Nkurunziza bofya hapa

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)