Kocha mkuu wa Yanga mholanzi Hans van der Pluijm amesema amesikitishwa na matokeo ambapo timu yake iliruhusu goli dakika za majeruhi na kuufanya mchezo kumalizika kwa sare ya kufungana
goli 1-1 dhidi ya Simba ambao ni wapinzani wao wa kihistoria.
Pluijm amesema inasikitisha unaposhindwa kulinda matokeo dakika za lala salama na kumruhusu mpinzani wako kusawazisha.
“Tulicheza vizuri kipindi cha kwanza tukapata goli na tukatarajia tungetawala zaidi katika kipindi cha pili lakini kukawa na tension kubwa kwa timu na wachezaji, tulipata nafasi lakini hatukuzitumia. Simba wakapata nafasi moja ya pekee wakasawazisha”, amesema Pluijm ambaye amekiongoza kikosi chake katika mechi tatu mfululizo bila kupoteza dhidi ya Simba.
“Ukishindwa kulinda matokeo ndani ya dakika nne za mwisho, inasikitisha. Kwahiyo nimesikitishwa na matokeo.” Yanga walitangulia kupata goli dakika ya 26 kipindi cha kwanza kupitia kwa Amis Tambwe kabla ya Shiza Kichuya kuisawazishia Simba dakika ya 87.
Mpina ataka wanaosoma 'cheti' nao wapewe mikopo bofya hapa
Pato La Taifa Lakua Kwa Asilimia 7.9 bofya hapa
Maalim Seif 'Kumshitaki' Lipumba kwa mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) bofya hapa
UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
Manispaa ya Temeke kugawanywa bofya hapa
Mapokezi ya viongozi CUF yaota mbawa bofya hapa
Wachambuzi wa uchumi watoa neno kwa ATCL bofya hapa
Wawakilishi wapitisha marekebisho ya Katiba ya Zanzibar bofya hapa
Simba, Yanga mwendo wa kimya kimya bofya hapa
Korti yatupa kesi dhidi ya Pierre Nkurunziza bofya hapa

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)