WACHEZAJI WA YANGA WAPANDA DALADALA MWANZA

Picha za kikosi cha Yanga kupanda daladala aina ya Hiece maarufu kama ‘vipanya’ zimeendelea kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na kuzua mijadala mbalimbali wengine wakipinga kitendo hicho wakati wakiunga mkono.

Inadaiwa basi la Yanga lilichelewa kufika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuwabeba wachezaji na kuwapeleka Shinyanga ambako Yanga itacheza mchezo wa VPL dhidi ya Mwadui FC hivyo viongozi wakalazimika kukodi daladala kwa ajili ya kupeleka wachezaji hotelini wakapumzike wakisubiri basi lifike.


Jumamosi September 17, Yanga itacheza na Mwadui FC kwenye uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga kisha itasubiri kucheza dhidi ya Stand United katika uwanja huo kabla ya kurejea Dar kujianda na mchezo dhidi ya Simba October 1.


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top