Mbowe aitwa polisi, Lowassa azuiwa Dar


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Edward 


 Siku moja baada ya Rais John Magufuli na Chadema kutoa misimamo tofauti kuhusu kupigwa marufuku kwa mikutano ya kisiasa, Jeshi la Polisi limemuita Freeman Mbowe kwa mahojiano, huku hafla ya wanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Muhimbili ambayo Edward Lowassa angekuwa mgeni rasmi ikizuiwa.

Katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji naye ameendelea kusisitiza msimamo wa chama chake wa kuitisha mikutano nchi nzima Septemba Mosi, kauli aliyoitoa saa chache baada ya Rais Magufuli kusisitiza msimamo wa kuzuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa kwa wale walioshinda kwenye udiwani na ubunge ambao watatakiwa kufanya hivyo kwenye maeneo yao tu.
 Mahafali ya KKKT Chuo Kikuu Muhimbili Yapigwa Marufuku Baada ya Wanafunzi Hao Kumwalika Lowassa Kuwa Mgeni Rasmi bofya hapa

 Habari zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili July 31, 2016 bofya hapa



Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top