Utafiti waonyesha kuwa virusi huwa hatari zaidi asubuhi

Virusi vinapovamia mwili saa za asubuhi huwa hatari sana
  Virusi vinapovamia mwili saa za asubuhi huwa hatari sana

Virusi vinatajwa kuwa hatari zaidi wakati vinavamia mwili wa mwanadamu saa za asubuhi, kwa mujibu wa utafiti wa chuo cha Cambridge.

Matokeo ya utafiti huo yaliyochapishwa, yalionyesha kuwa virusi huwa na mafanikio mara kumi zaidi ikiwa vitaingia mwililini saa za asubuhi.

Watafiti hao wanasema kuwa matokeo hayo yatasababisha kupatikana kwa njia mpya za kuzuia majanga.

Virusi, kinyume na bakteria hutegemea zaidi kuvamia chembechembe za mwili ili viweze kuwa na uwezo ya kukua.
Habari za Magazetiya Leo Jumanne August 16, 2016 bofya hapa

MANJI AJIUZULU YANGA bofya hapa








 
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top