Rais wa Marekani Obama alitembelea Mgahawa ambapo binti yake mdogo ameamua kufanya kazi, aliamua kumsaidia katika kufanya baadhi ya majukumu
yake.Tunapata fundisho gani? wajibu wako kama baba ni nini? Ni aina gani ya jukumu unafanya katika kuhakikisha unaleta ustawi bora kwa binti yako katika masiha yake maisha? Mke wako pekee hatoshi kumtimizia mahitaji yake anahitaji pia uwepo wa baba, katika maisha yake binti anatarajiwa kuishi na mwanaume katika maisha yake. Mshauri na kumsaidia binti yako vizuri ili kumjenga vema katika maisha yake.Mungu awabariki wa baba wote
Chanzo: Ita Mma Udomah
Habari za Magazetiya Leo Jumanne August 16, 2016 bofya hapa
MANJI AJIUZULU YANGA bofya hapa
MANJI AJIUZULU YANGA bofya hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)