Sam Allardyce meneja mpya wa England


Ametia saini mkataba wa miaka miwili Sam Allardyce ametangazwa rasmi kuwa meneja mpya wa timu ya taifa ya England.

Amekuwa meneja wa klabu
ya Sunderland.

Allardyce, ajulikanaye sana kama Big Sam, ametia saini mkataba wa miaka miwili, ambao utampatia jukumu la kuandaa na kuongoza timu hiyo hadi mwisho wa Kombe la Dunia la 2018.

Anamrithi Roy Hodgson, aliyejiuzulu baada ya England kuondolewa kutoka kwa michuano ya ubingwa Ulaya nchiniUfaransa baada ya kushindwa na Iceland.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top