News alert:Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Elimu



TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivi karibuni ilitoa uamuzi kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma

.

Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo kumekuwa na maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara kufuatia uamuzi huo. Hivyo Wizara inawataarifu wale wote wenye maswali ama wanaotaka ufafanuzi wawasiliane na Wizara kwa kutumia namba 0784307462 au barua pepe info@moe.go.tz

Imetolewa na:

Katibu Mkuu








Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top