News alert:Viongozi Bavicha mbaroni Dodoma


Viongozi Sita wa Baraza la Vijana Chachema (BAVICHA) wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma kwa Madai ya Kuikashfu Serikali. Kwa siku za hivi karibuni viongozi wa BAVICHA wamekuwa wakitoa matamko mbalimbali kuwahamasisha wanachama wao

kwenda Dodoma kwa ajili ya kuisaidia Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM Uliuopangwa kufanyika July 23, 2016 kwa madai kuwa Jeshi la Polisi lilishapiga Marufuku Mikutano ya Kisiasa
Awali polisi walikamata  Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrobas Katambi, Katibu Mkuu Julius Mwita, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya George Tito, Katibu mwenezi wa Bavicha Edward Simbeye na Katibu Bavicha Wilaya ya Temek, Hilda Newton. Na baadaye mnjumbe wa baraza kuu la Chadema Joseph Kasambala aliyekamatwa baada ya kwenda kituo cha Polisi kwa lengo la kuwawekea dhamana wenzake

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top