LOWASSA Awakosoa Chadema Ataka Waachane na Maandamano na Uanaharakati ili Wajipange Kuchukua Dola 2020



Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa amekutana na umoja wa mameya na wenyeviti wa halmashauri wa CHADEMA

.Wakati akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa alienda mbali zaidi kwa kuzuia mandamano na uanaharakati katika chama

"Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni proces" alisema Lowassa

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top