Mnyika: Sina mpango wa kuhama Chadema


Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Tanzania bara John Mnyika amekanusha kuwa ana mpango wa kukihama chama hicho, hayo alisisema jana alipopigiwa
simu kuhusu taarifa ambazo zinasambaa kuwa anataka kuhuma Chadema, alisisitiza kuwa huo ni Uzushi.
"Hakuna kitu kama hicho na wala sina Mpango wa Kuhama" alisema. Ikumbukwe kuwa hata mwaka 2013 zilienea habari kama hivi za kujiuzuru Mnyika mara baada ya Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top