Rais Zuma aamrishwa kurejesha pesa za Umma


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameambiwa kuwa ni lazima alipe zaid ya dola nusu milioni pesa za umma, ambazo alitumia kukarabati nyumba yake.

Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imetaka wizara ya fedha, kutambua ikiwa ni kiaisi gasi Rais Zuma anasathili kurejesha kufutia uamuzi wa mapema mwaka huu kuwa alikuwa amekiuka katiba Image copyright Reuters Image caption Makao ya Zuma ya Nkandla

Kumekuwa na wito wa kumtaka Raia Zuma ajiuzulu kutokana na sakata hiyo.
 


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa 







Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top