Msanii aliyetekwa Nigeria apatikana

         
 Mwanamuziki Ado Daukaka

Polisi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wamempata msanii maarufu ,Ado Daukaka,aliyepotea siku ya Ijumaa.

Wanasema wamemkuta akiwa katika hali ya
kutokuwa na fahamu huku akiwa amekonda sana.

Daukaka ameiambia BBC kuwa alitekwa nyara na kundi la watu waliokuwa na hasira kutokana na wimbo aliouandika uliokuwa unawazungumzia viongozi wa siasa wanajihusisha na rushwa.

Amesema walimuweka ndani kwa siku mbili bila ya kumpatia chakula na kisha kumtelekeza msituni.

Kwa sasa anaendelea na matibabu katika hospitali moja iliyopo kilomita 120 kutoka eneo alilotekwa.

Mojawapo ya nyimbo zake ni unaoitwa kwa lugha ya Kihausa Gyara kayanka, ukimaanisha ''tunapaswa kufanya matendo mema'' unaowazungumzia wanasiasa wanaotoa ahadi nzuri bila kuzitimiza.
 Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Alhamisi June 30, 2016 Bofya hapa
 Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo alhamisi June 30, 2016 Bofya hapa 
News alert:Lissu anyimwa Dhamana aweka Rumande, kupelekwa mahakamani kesho Bofya hapa

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI Bofya hapa   
Profesa aliyebeba mtoto mgongoni wakati akifundisha apata sifa Bofya hapa
Tundu Lissu aitwa tena Jeshi la Polisi, ni kuhusu kauli yake ya jana Kisutu HIVI NDIVYO ALIVYOONGEA BOFYA HAPA

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA





Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top